Mpaka kati ya Msumbiji na Tanzania ni mto Ruvuma, na eneo la pwani ya bahari. Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, Msumbiji imeshuhudiwa idadi kubwa ya watu wakilazimika kutoroka makazi yao ...