Ugali ni chakula kinacholiwa sana barani Afrika. Huenda kikawa ndio chakula chenye umaarufu mkubwa Afrika, kikitokana na nafaka hasa ya mahindi. Ubugali ( Burundi, DR Congo, Sudan, Sudan Kusini ...