Elisante Ole Gabriel, amesema hayo leo, wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa bajeti ya mahakama na majukumu kwa nusu ya mwaka wa fedha 2024/25. Prof. Ole Gabriel, amesema fedha ...
Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dk Immaculate Semesi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tahadhari ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza kunyesha. Amesema ni wajibu wa kila ...
Mambo hayo ni kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama uliomalizika hivi karibuni na pia kuhusu hali halisi kuhusiana na uchaguzi uliomalizika wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wa mwaka 2024 na ...
Alisema baada ya vyombo vya habari kuandika kwa mfululizo habari za malalamiko kuhusu kero ya maji, serikali chini ya Rais Samia ilisikia kilio hicho na kuanza ujenzi wa mradi huo mkubwa ambao ...
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani imedhamiria kununua na kumiliki Ukanda wa Gaza na kuhamisha Wapalestina milioni mbili wanaoishi huko, licha ya pendekezo hilo kupingwa vikali ...
WAKATI mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Zuchu, amezidi kuonesha hasira zake kwa kutishia kuwaburuza mahakamani watangazaji wa Wasafi, bosi na mpenzi wake Diamond Platnumz, ameonekana kuziba masikio ...
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imesema kiwango cha uhimilivu cha Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ni asilimia 36.4 ikilinganishwa na kiwango kinachokubalika cha asilimia 60 na lengo la ...
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amekabidhi mguu bandia uliogharimu Sh. milioni 2.5 kwa Jackson Mwakalinga (75), mkazi wa Sangasanga, wilayani Mvomero, mwenye ulemavu. Mguu huo bandia, ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeagiza kuwa Februari 19 mwaka huu, Dk. Wilbroad Slaa apelekwe mahakamani ili afuatilie kesi yake ya tuhuma kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao ...
Mahakama yaahirisha hadi Feb. 17 kusubiri upelelezi. MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imeahirisha kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Christina Kibiki hadi ...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza vifurishi vipya vya bima katika makundi mawili ya Serengeti Afya na Ngorongoro Afya, kifurushi cha chini kikiwa ni Sh. 240,000 na cha juu Sh. 6,388,400 ...
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Shinyanga, Frank Mahimbali, akizungumza na vyombo vya habari leo, Januari 20, 2025, amesema maadhimisho haya yanaashiria kuanza rasmi kwa shughuli ...