Vituo hivyo vinaendelea kujengwa ili kuhakikisha huduma ya kujaza gesi kwenye magari inapatikana katika maeneo mbali mbali nchini kwa kuanza na Mkoa wa Dar es salaam.
Dereva Juma Juma anasema shida ya kuendelea kwa rushwa kati ya madereva wa daladala na askari wa usalama barabarani ni woga wa madereva kwa kuwa kuna kipindi wanakuwa na magari mabovu, hivyo kuwapasa ...