DAR ES SALAAM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewataka wakandarasi wa usafi kuhakikisha wananunua na kutumia vifaa bora vya usafi ili kuboresha hali ya usafi jijini Dar es Salaam. Mpogolo ...
Waliutazama Mto mkubwa wa Congo, wakatambua maji yake yenye nguvu yana uwezo mkubwa wa kufua umeme. Jumuiya ya kimataifa iliyopewa jina la Westcor - ilitaka kuongeza mabwawa mbali ya yale mawili ...
Uchunguzi wa BBC umebaini madai kwamba kampuni kubwa ya mafuta Shell imepuuza onyo la mara kwa mara kuhusu operesheni ya kusafisha maeneo ya mafuta ya kusini mwa Nigeria, ambayo inashutumiwa ...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imejipanga kuimarisha hali ya usafi wa mazingira, ili kulinda tuzo ya usafi ambayo ilishinda kutoka Wizara ya Afya. Hayo yamebainishwa jana, kwenye Kikao cha ...
Aidha amesema wenyeviti bora wa serikali za mitaa au vijiji kutoka halmashauri tatu wanaohamasisha wananchi kupanda miti na usafi wa mazingira watapewa zawadi ambapo mshindi wa kwanza atapata kiasi ...
"Ninaingia chooni mara chache, labda nibanwe sana kwa sababu ninajua kitu chenye matumizi mengi, lazima kina changamoto. Usafi ni mdogo, ila nikibanwa ninaingia, sina namna," anasema dereva huyo.
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na malalamiko ya kukatika mara kwa mara kwa umeme, Serikali imesema kwa sasa nchi inazalisha umeme kuliko uwezo wa mahitaji ya nishati hiyo, baada ya kukamilika kwa ujenzi ...
Huyu anayeajiriwa anaweza kuwasaidia kufua, kuosha vyombo, kutunza bustani. Kipaumbele chako cha kwanza, uwe mke au mume ni lazima kiwe familia yako. Ili kuhakikisha una muda mzuri na familia yako, ...
Ethio Jazz n.k. Na licha ya Tems kushinda lakini ameshindwa kufua dafu katika vipengele vingine viwili alivyokuwa anawania katika Grammy 2025 ambavyo ni Best R&B Song (Burning) na Best Global Music ...