Kuhusu uhusiano wake na Mbowe, Lissu alisema amekuwa naye bega kwa bega kwa miaka 20 na hajawahi kugombana naye. Lissu alisema: "Tunaweza kuwa tumetofautiana kimsimamo, lakini hatujawahi kugombana".
Kaimu Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Stephen Murimi, amesema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya maadhimisho hayo kwenye kanda ya hiyo. Kaimu Jaji huyo, amewataka ...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, alisema hayo jana wakati akizungumza na moja ya vyombo vya habari kuhusu maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM, ...
Maganya, amesema hayo leo jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maamuzi ya mkutano mkuu wa CCM, kuwapitisha Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa ...
WAKATI mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Zuchu, amezidi kuonesha hasira zake kwa kutishia kuwaburuza mahakamani watangazaji wa Wasafi, bosi na mpenzi wake Diamond Platnumz, ameonekana kuziba masikio ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu usaili huo. “Kuanzia tarehe 14 ...
Heche ametoa kauli hiyo leo akiwa mjini Mwanza alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Kamati Kuu, wanachama wa CHADEMA, pamoja na waandishi wa habari kuhusu dhamira yake ya kuwania nafasi hiyo.